Mara nyingi kocha wa Yanga Mwinyi zahera amekuwa amekuwa anatoa kauli kwamba timu yeke inapocheza na timu yoyote timu wanayocheza nayo inakuwa imehongwa na timu nyingine ili kuikamia Yanga ifungwe au itoe sare ... Kauli hizi ni hatari Kwa soka la Tanzania maana habari zinapotolewa hazijibiwi na upande husika yaani bodi ya ligi au TFF ... Iwapo kauli hizi zingetolewa na kocha wa ligi nyingine duniani mtoa kauli hizi angeitwa atoe uthibitisho kama ikiwezekana anapewa onyo au kulipa faini