Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Kila mtu ana zamani yake
Na miaka ile sie tu wangali wadogo tulipitia maisha fulani ambayo kwa sasa ni nadra sana
Wakumbuka zile kauli za mama zetu kama wanafalsafa wa uswazi😂😂
Mfano mama yangu mimi
"Wewe maliza tu betri za Redio ,Usiku utamsomea BABA yako taarifa ya Habari"
"Endeleni kucheza msichote maji mie ntarudi na Mvua"
EBU TURIRIKA HAPO kamsemo kutoka kwa bi mkubwa wako😂😂