Kauli za mama zetu enzi zile...

Kauli za mama zetu enzi zile...

Kila mtu ana zamani yake

Na miaka ile sie tu wangali wadogo tulipitia maisha fulani ambayo kwa sasa ni nadra sana

Wakumbuka zile kauli za mama zetu kama wanafalsafa wa uswazi😂😂

Mfano mama yangu mimi

"Wewe maliza tu betri za Redio ,Usiku utamsomea BABA yako taarifa ya Habari"

"Endeleni kucheza msichote maji mie ntarudi na Mvua"

EBU TURIRIKA HAPO kamsemo kutoka kwa bi mkubwa wako😂😂
we cheza ole wako nikute maharage yameungua ''ndo utajua kwanini makalio ya sufuria hayaogopi moto''
 
Kuna siku mama alinipiga na chungu kikanipasukia chote kikawa vupande vipande, akaona haitoshi akachukua mwiko, halafu nilikua form six

Nilikua nasoma boarding, sasa niliporudi likizo si unajua kijijini kuna kijana akaja home kuniulizia akamkuta mama

Kijana: mama nimesikia fulani amerudi likizo nimekuja kumsalimu

Mama: haya ntamwambia umemsalimu nenda nyumbani ukawasaidie wazazi wako kulima

Mama akaniita jikoni akaniambia kwa nini vijana wameanza kuniulizia, ile nataka kumjibu chungu kishanipasukia, akachukua mwiko alinipiga mpa ule mwiko ukakatika, nikakia kwa nguvu hada baba akaja kuniokoa
 
😅😅😅😅 uyo mama ni mtu muhimu sana amenifurahisha
 
Haha mama aliona umeshaanza michezo ya wakubwa kabla haujakubuu akukomeshe.
 
Ile haikua komesha ilikua zaidi ya komesha, hakunipa hata nafasi ya kujitetea, na likizo nilikua nafungiwa hata dukani siendi
Aisee pole sana.

Lakini hakupaswa kufanya hivyo yeye angekukalisha mzungumze friendly tu akueleze madhara ya mahusiano kwa umri huo baada ya hicho kichapo maana huwezi kukomesha tabia kwa kumfungia mtu ndani.
 
Hahah mama zetu wao walikua wajua kupiga balaa, baada ya kumaliza form six eti ndio akaniomba msamaha akaniambia alinihukumu bila kunipa nafasi ya kuzungumza na kwamba alikua anataka nisome, sasa kwa kuwa nilikua naenda shuo akaniambia huko hawesi kunichunga nijichunge mwenyewe mpaka nimalize masomo
 
😅😅😅😅
 
Naenda Kanisani mlete rafiki yaki mwenye Virasta yule aje aibebe Redio umo ndani
 
Back
Top Bottom