Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Yeah hata wewe pia, sikuoni sana humuumemisika kipande hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hata wewe pia, sikuoni sana humuumemisika kipande hii
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059]much love shem wangu
ni ukweli, hali ya kupambana tu otherwise niko fineYeah hata wewe pia, sikuoni sana humu
Sure babyshem, tupambane.. mi mwenyewe niko goodni ukweli, hali ya kupambana tu otherwise niko fine
stay safe best yangu mzuriSure babyshem, tupambane.. mi mwenyewe niko
You too Babeshem!stay safe best yangu mzuri
we cheza ole wako nikute maharage yameungua ''ndo utajua kwanini makalio ya sufuria hayaogopi moto''Kila mtu ana zamani yake
Na miaka ile sie tu wangali wadogo tulipitia maisha fulani ambayo kwa sasa ni nadra sana
Wakumbuka zile kauli za mama zetu kama wanafalsafa wa uswazi😂😂
Mfano mama yangu mimi
"Wewe maliza tu betri za Redio ,Usiku utamsomea BABA yako taarifa ya Habari"
"Endeleni kucheza msichote maji mie ntarudi na Mvua"
EBU TURIRIKA HAPO kamsemo kutoka kwa bi mkubwa wako😂😂
😂😂😂😂daaahwe cheza ole wako nikute maharage yameungua ''ndo utajua kwanini makalio ya sufuria hayaogopi moto''
😅😅😅😅 uyo mama ni mtu muhimu sana amenifurahishaKuna siku mama alinipiga na chungu kikanipasukia chote kikawa vupande vipande, akaona haitoshi akachukua mwiko, halafu nilikua form six
Nilikua nasoma boarding, sasa niliporudi likizo si unajua kijijini kuna kijana akaja home kuniulizia akamkuta mama
Kijana: mama nimesikia fulani amerudi likizo nimekuja kumsalimu
Mama: haya ntamwambia umemsalimu nenda nyumbani ukawasaidie wazazi wako kulima
Mama akaniita jikoni akaniambia kwa nini vijana wameanza kuniulizia, ile nataka kumjibu chungu kishanipasukia, akachukua mwiko alinipiga mpa ule mwiko ukakatika, nikakia kwa nguvu hada baba akaja kuniokoa
Haha mama aliona umeshaanza michezo ya wakubwa kabla haujakubuu akukomeshe.Kuna siku mama alinipiga na chungu kikanipasukia chote kikawa vupande vipande, akaona haitoshi akachukua mwiko, halafu nilikua form six
Nilikua nasoma boarding, sasa niliporudi likizo si unajua kijijini kuna kijana akaja home kuniulizia akamkuta mama
Kijana: mama nimesikia fulani amerudi likizo nimekuja kumsalimu
Mama: haya ntamwambia umemsalimu nenda nyumbani ukawasaidie wazazi wako kulima
Mama akaniita jikoni akaniambia kwa nini vijana wameanza kuniulizia, ile nataka kumjibu chungu kishanipasukia, akachukua mwiko alinipiga mpa ule mwiko ukakatika, nikakia kwa nguvu hada baba akaja kuniokoa
Ile haikua komesha ilikua zaidi ya komesha, hakunipa hata nafasi ya kujitetea, na likizo nilikua nafungiwa hata dukani siendiHaha mama aliona umeshaanza michezo ya wakubwa kabla haujakubuu akukomeshe.
Aisee pole sana.Ile haikua komesha ilikua zaidi ya komesha, hakunipa hata nafasi ya kujitetea, na likizo nilikua nafungiwa hata dukani siendi
Hahah mama zetu wao walikua wajua kupiga balaa, baada ya kumaliza form six eti ndio akaniomba msamaha akaniambia alinihukumu bila kunipa nafasi ya kuzungumza na kwamba alikua anataka nisome, sasa kwa kuwa nilikua naenda shuo akaniambia huko hawesi kunichunga nijichunge mwenyewe mpaka nimalize masomoAisee pole sana.
Lakini hakupaswa kufanya hivyo yeye angekukalisha mzungumze friendly tu akueleze madhara ya mahusiano kwa umri huo baada ya hicho kichapo maana huwezi kukomesha tabia kwa kumfungia mtu ndani.
😅😅😅😅Hahah mama zetu wao walikua wajua kupiga balaa, baada ya kumaliza form six eti ndio akaniomba msamaha akaniambia alinihukumu bila kunipa nafasi ya kuzungumza na kwamba alikua anataka nisome, sasa kwa kuwa nilikua naenda shuo akaniambia huko hawesi kunichunga nijichunge mwenyewe mpaka nimalize masomo
🤣🤣🤣🤣Me: mama nasikia njaa
Mama: ziba maskio mwanangu ata mm naiskia...kumbe hujala ulipokuwa unacheza uko tokea asbuhi
Mama njaa inauma anakujibu ing'ateMama njaa inauma
Mama: iwekee kijiko