Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
๐๐๐Mama sufuria iko wapi?....Iite sufuria itakuja yenyewe
Mama leo hujanipa hela ya shule,.... Nenda kwa shangazi yako ndio akupe
๐๐๐๐Huu mpekecho utakuishia leo
poleeSijakuwa na mama ๐
๐ข๐ขSijakuwa na mama ๐
๐๐๐๐Nikute maharage yameungua nakuja na nyama
๐๐๐๐Ukimkera utasikia
Ndio maana miguu kama shetani anaenda kuungama
๐๐๐ila wamamaKuna mama mmoja nilimsikia akimdisi mwanae baada ya kumkera "ndio maana una sura mbaya utadhani nilikutapika"!
Amyiiin๐Kuna siku mempa jibu hajawahi kulisahau alipika mboga ambayo sijawahi kuila tokea nizaliwe ilikuwa mchunga ile mekuja kanipa msosi tonge la kwanza...
Mimi: khaaa! mama leo unataka kuniua umenipikia sumu
Mama: aliishia kucheka sana....
Ikawa kila mara ikisemwa hiyo mboga anaishia kunitania Mungu amrehemu sasa ni marehemu
Ila mama zetu, sijui wanatoaga wapi vikauli vyao๐๐Liangalie sura mbaya kama muuza sumu