OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
MKIRU, Ben Saanane, Azory, Akwilina, Maiti za coco beach kwenye sandaru, kutekwa, kupotezwa et etc etc. hasya yote hayakutokea huko nyuma isipokuwa kwako ....Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu!
Watu wanaotekwa siyo kumwaga damu?"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Duuh,hili jamaa linafiki sana!Limesahau damu za watu lilizomwaga mara hii?Anawahakikishia wanaotamani yeye amwage damu katu hatoweza kufanya hivyo.
Huyu ndiye shetani mkubwa kuliko wote! Jitu hovyo kabisa kabisa! Limeua malaki ambayo yatakuja kujulikana likitoka madarakaniDuuh,hili jamaa linafiki sana!Limesahau damu za watu lilizomwaga mara hii?
Maana ya kauli hiyo ipo wazi kabisa: hata akidhurumu ushindi wa Tundu Lissu haitakiwi watu wakatae dhuruma hiyo."Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Umetisha Sana mkuu. Umegonga penyewe kabisa.MKIRU, Ben Saanane, Azory, Akwilina, Maiti za coco beach kwenye sandaru, kutekwa, kupotezwa et etc etc. hasya yote hayakutokea huko nyuma isipokuwa kwako ....
Kwani hao waliotekwa ,risasi akina Lisu siyo damu?Anawahakikishia wanaotamani yeye amwage damu katu hatoweza kufanya hivyo.
Kwani kuandamana ni kumwaga damu?Ukieleza kuwa kama tutashindwa, basi hatukubali tutawaeleza wanachama wetu waandamane mitaani! Huo si umwagaji wa damu kama ya akwilina?
Huyu mzee akumbuke kauli yake kuwa "Mambosasa usiwafanye watanzania kuwa wajinga,wanayaona yanayofanyika""Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Tuwaulize labda Chadema wanaomficha dereva wa Lissu ili asitoe ushahidi wa tukio zima.gari kipigwa rasisi zaidi ya 16 lakini dereva haijampata hata moja.Kwani hao waliotekwa ,risasi akina Lisu siyo damu?
Huyo huwa anaongea halafu anasahau alichokisema, haelewi kuwa ukiwa muongo inabidi uwe na kumbukumbu.Huyu mzee akumbuke kauli yake kuwa "Mambosasa usiwafanye watanzania kuwa wajinga,wanayaona yanayofanyika"