Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]Anawahakikishia wanaotamani yeye amwage damu katu hatoweza kufanya hivyo.
Huyu hajamwaga damu mbwa mwitu huyu? Kule Pemba alimwaga maziwa?Mkapa miaka 10
Delete ccm Oct 28"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Hebu acheni kupotosha! Kuna mgombea alishawahi kusema kuwa "TUKISHINDWA HATUTAKUBALI"?Ukieleza kuwa kama tutashindwa, basi hatukubali tutawaeleza wanachama wetu waandamane mitaani! Huo si umwagaji wa damu kama ya akwilina?
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Damu ya Akwilina ilimwagwa na Polisi ndo pekee walikuwa na silaha za moto kuwathibiti wanachama wasio na silaha wa CHADEMA wakienda ofisi za NEC kuwasilisha malalamiko yao. Tukiacha damu iliyomwagika vitani na Idd Amin, damu ya wananchi ikiwa ni pamoja na ya Tundu Lissu imemwagika nyingi Awamu hii kuliko Awamu zote zilizobaki kwa ujumla wao toka Uhuru. Maandamano ya amani yanaruhusiwa kikatiba tatizo linalosababisha umwagikaji wa damu ni udhaifu wa viongozi wetu kutoa maagizo toka juu kwa Polisi kinyume na matakwa ya Katiba kujijenga kisiasa. Kauli mbiu ya Polisi na majeshi yote ni: Tekeleza agizo/amri toka juu kwanza hoji baadaye!Ukieleza kuwa kama tutashindwa, basi hatukubali tutawaeleza wanachama wetu waandamane mitaani! Huo si umwagaji wa damu kama ya akwilina?
Afu unakuta aliyeandika upuuzi huu anamtoto na anasoma shule..Ukieleza kuwa kama tutashindwa, basi hatukubali tutawaeleza wanachama wetu waandamane mitaani! Huo si umwagaji wa damu kama ya akwilina?
Magu ni chinja chinja aliyechangamka."Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Maandamano ya amani yanasababisha vipi damu kumwagika?Ukieleza kuwa kama tutashindwa, basi hatukubali tutawaeleza wanachama wetu waandamane mitaani! Huo si umwagaji wa damu kama ya akwilina?
Bora vita kuliko mitano tenaKwamba ni lazima matokeo yawe anayoyatarajia ili apate miaka kumi kama Mwinyi, Mkapa na Kikwete amasivyo kutakua na vita.
Unamtusi mtu mwenye phd magumashi ?Wakati wa Nyerere tuliwapiga Uganda na kuua Askari wao na mwinyi alijiuzuru uwaziri wa Mambo ya ndani baada ya polisi kuuwa watanzania. Mwinyi alipokuwa raisi inawezekana akavunja record ya kuwa raisi wa kwanza kuruhusu adhabu ya kunyongwa mamia ya watanzania. Wakati wa mkapa huko Zanzibar inaaminika mamia waliuwa 21/3/2001 kwa fujo za uchaguzi baada ccm kushindwa vibaya na maalim seif. Wakati wa Kikwete mwandishi wa habari Daudi Mwangosi alisambaratishwa na bomu akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Wakati wako Jiwe hakuna haja hata kuorodhesha waliokufa kwa maelekezo yako. Hao unaposema damu haijamwagika unataka kusema hao walimwaga maji? Pambaf kweli wewe
😂😂😂
Ya Lissu haikuwa damu?"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya kauli hii? Damu inamwagikaje yaani? Kwamba akiishia miaka mitano kutakuwa na umwagaji damu?
Tujadili kwa kina sana
Amemwaga damu sana kuliko rais yeyote TzAnawahakikishia wanaotamani yeye amwage damu katu hatoweza kufanya hivyo.
PhD lakigumashi tu lenyewe ni tusi tosha