Uchaguzi 2020 Kauli za Mgombea CCM Dkt. Magufuli kuhusu umwagaji wa damu zina maana gani?

MKIRU, Ben Saanane, Azory, Akwilina, Maiti za coco beach kwenye sandaru, kutekwa, kupotezwa et etc etc. hasya yote hayakutokea huko nyuma isipokuwa kwako ....
Ni kweli huko nyuma hakukuwahi kuwa na mauaji ya namna yoyote ile,hata wewe ukiua sasahivi atakuwa kaua Magufuli.
 
Tuwaulize labda Chadema wanaomficha dereva wa Lissu ili asitoe ushahidi wa tukio zima.gari kipigwa rasisi zaidi ya 16 lakini dereva haijampata hata moja.
Kwani alikuwa target ya wapigaji? Mbona huelewi tu hii simple logic? Risasi hupiga ilikolengwa na Haina kona! Ccm mmejaa mazuzu yasiyojiuliza Bali kuitikia vibwagizo visivyo na maana!
 
Yaani majini na damu za watu, ni kama pipa na mfuniko.
 
Mtu mwenye akili timamu huwezi kuuliza swali kama hili.
 
Kuna damu za watu wengi zimemwagika katika utawala huu na zipo juu ya watawala hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…