Kuwa wewe ni kiwakilishi cha wajinga 60% ambayo ndiyo mtaji wa CCMNini sasa hiki umemjibu huyu jamaa?
Tatizo la mjinga ni yeye tu anajiona yuko sawa ila jamii nzima inamuona kuwa yeye ni mjinga. Sina namna ya kukusaidiaWewe ndio MJINGA mkuu, Inamana kwà hizo takwimu zako ndio umuone LISSU anaakili sana
Kajamaa katapita kama hakajaona hii, mtu akiwa CCM ubongo anahamishia tumboni, point zake zinakuwa "takamwili".India wanatengeneza umeme wa jua wa megawati 10000 kwa trilioni 8, tanzania tunatengeneza umeme wa maji (stieglers gorge) megawati 1200 kwa trillion 6. sasa hebu tueleze kuwa ni umeme upi wenye gharama hapo?
Ona sasa !! Wewe uliepinga hoja ya Lissu ulitakiwa uje na facts before hand boss, sisi tumekuja kusoma ulichopost kama thread,tumekuta mapenzi yako kwa CCM.Weka ushahidi unachosema.
Ujinga mtu hapa, kama TL ameshindwa kueleza aina ya tafiti wewe ulitakiwa kuonyesha tafiti ya justification ya hiyo miradi!Utafiti gani unaonyesha umeme wa gas ni cheap kuliko Hep? Utafiti gani unaonyesha Stiegler's gorge maji yatakosekana sababu ni tropical area. Maana hata Wajerumani walioanga kuzalisha umeme miaka hiyooo. Sasa mgombea wenu anadanganya watu!
TL and fikra za kibeberu na anafikiri kibeberuSasa wewe unabishana naye wakati alikueleza kuwa alikuwa kwenye utafiti kuhusu hayo mambo kwa miaka mitatu tena huko Duniani? Yule mwenzako anasema hataki kwenda Ulaya maana Ulaya anaijenga Tanzania ndiyo siyo wa ajabu?
Kwahiyo ccm anaingia kwenye uchaguzi akiwa na mtaji wa 60% sasa akija kuongeza na wajanja kadhaa akashinda kwa zaidi 80% usiseme umeibiwa maana takwimu za ushindi wake unazo weweWatanzania zaidi ya 60% ni wajinga sana na huo ndiyo mtaji wa CCM. Wanaamini kila anachosema Magufuli