Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #81
Kwani mimi nimeandika nini? Je ni kweli maji sio ya uhakika mto Rufiji na Ruaha? Alisema maji sio ya uhakika na ghali,bora kutumia gas ambayo ni cheap.Hakusema ni ghali, alisema uzalishaji wa umeme kwa kutumia maji hauna garantii for the long run hasa kwenye hizi zetu za kitropiki. Alifanya utafiti.