mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
India wanatengeneza umeme wa jua wa megawati 10000 kwa trilioni 8, tanzania tunatengeneza umeme wa maji (stieglers gorge) megawati 1200 kwa trillion 6. sasa hebu tueleze kuwa ni umeme upi wenye gharama hapo?
Acha maneno tupu, kwanza JNHPP ni 2100 MW, sio 1200, vivyo hivyo hata hizo data za India utakuwa hujui tu unacho andika, lete link hapa. Huwezi zalisha 10,000 kwa 8trn Tzs, ni mjinga na asiye na utaalamu wa mambo ya Energy anaweza kuropoka hivyo, bila shaka nyie ndio mmemdanganya Lissu anaenda kusema vitu Vya uongo na aibu.
Narudia kwa herufi kubwa, UMEME WA MAJI NI GHARAMA NAFUU ZAIDI YA UMEME WA JUA, UPEPO NA GESI. Mfikishie salamu Lissu na mmefundisha asiwe anaropoka mambo ya kitaalamu.