Niliposikia kiongozi anasema ugonjwa hautaingia kwenye nyumba za ibada maana ni ugonjwa Wa kishetani nikaona hapa tumeamua kumjaribu MUUNGU wetu , huwa hajaribiwi.
Ukila chakula chenye hao wadudu mfano cholera , hakika utaugua bila kujalisha unakesha unasli au hausali. Yesu aliambiwa ajirushe toka kileleni ,akakataa na kujibu ineandikwa usimjaribu Mungu wako.
Hilo ni funzo kwetu wanaoishi leo . sio busara kunukuu vubwagizo vya kiimani kwa kiongozi mwenye dhamana na roho zetu Wa Tz na kuifanya ni Sera ya kutuongoza tufike huko tunakolenga. Viongozi kuweni makini na kauli hata zitawafanya mpendwe kwa muda lakini hatimae kauli zenu rahisi mbeleni ni majuto kwa taifa . Tafakari.
Sent using
Jamii Forums mobile app