1: Mkimaliza kuongea
niambieni niendelee
kufundisha
2:Baba yako kauza
ng'ombe ili alete
ng'ombe mwingine
shule
3:Kama unajua kuliko
mimi njoo ufundishe
wewe
4:Ulikuja peke yako na
utaondoka peke yako
5:Hata msiponisikiliza
mshahara wangu uko
pale pale
6:Baba yako
anahangaika kulipa ada
wewe unafanya
utumbo tu
7:Hata nikeshe
nafundisha wengine ni
mizigo hawatoki na
lolote.
8:Tunavisaidia tu kwani
vikifanikiwa mbeleni
hata salamu vinatoa?
9:Bichwa kubwa
ubongo nukta
10:Wengine hapa
wamekuja kukua tu.