KAULI ZA WALIMU

KAULI ZA WALIMU

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
1: Mkimaliza kuongea
niambieni niendelee
kufundisha
2:Baba yako kauza
ng'ombe ili alete
ng'ombe mwingine
shule
3:Kama unajua kuliko
mimi njoo ufundishe
wewe
4:Ulikuja peke yako na
utaondoka peke yako
5:Hata msiponisikiliza
mshahara wangu uko
pale pale
6:Baba yako
anahangaika kulipa ada
wewe unafanya
utumbo tu
7:Hata nikeshe
nafundisha wengine ni
mizigo hawatoki na
lolote.
8:Tunavisaidia tu kwani
vikifanikiwa mbeleni
hata salamu vinatoa?
9:Bichwa kubwa
ubongo nukta
10:Wengine hapa
wamekuja kukua tu.
 
nakumbuka kuna ticha mmoja alikuwa ccm alafu alikuwa wa civics siku tunasoma democracy tulileta noma mpk akagoma kutufundisha alisema awezi fundisha watu wa upinzani
 
nakumbuka kuna ticha mmoja alikuwa ccm alafu alikuwa wa civics siku tunasoma democracy tulileta noma mpk akagoma kutufundisha alisema awezi fundisha watu wa upinzani
ahahahah democracy ili inoge ifundishwe na mwalimu mwenye chembe za upinzani.
 
Back
Top Bottom