Kauli za wanamichezo kuhusu Cristiano Ronaldo

Kauli za wanamichezo kuhusu Cristiano Ronaldo

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Hidhi na baadhi ya kauli za wanamichezo maarufu kuhusu CR 7...

Maradona:"Ureno hainabudi kujenga sanamu ya Ronaldo"
"Mabeki wanamuhofia Ronaldo kuliko Messi"
Mourinho:"Kwangu Ronaldo ndiye mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea,kwasababu amethibitisha hilo katika ligi tatu tofauti"
"Yeye ni mchezaji aliyekamilika ambaye nimewahi kumshuhudia"
Robert Baggio: "Watu wanajua kwamba Ronaldo ndiye mchezaji bora ulimwenguni,lakini wanahofia kulisema hilo"

Capello: "Nipatie Ronaldo na wachezaji wengine 10 nitachukua UEFA"
Romario: " Nacheza kama Ronaldo?
Hakuna mchezaji anayeweza kucheza kama yeye"
Viera: "Hauwezi kufundisha wachezaji anachokifanya Ronaldo uwanjani,ni Mazingaombwe"

Bobby Charlton:"Nimewashuhudia Pele na Maradona wakicheza mpira,lakini Ronaldo ni wakiwango kingine bora zaidi"
Rossi: "Tofauti yao ni kuwa Messi anatumia kimo chake zaidi akiwa uwanjani,lakini Ronaldo anatumia maarifa na akili"
Pele:"Kati ya Messi na Ronaldo? Ronaldo ni Muhimu(uwanjani) zaidi ya Messi"
Zidane: "Kitendo cha kuwa na Ronaldo uwanjani pekee,tayari unaongoza 1 kwa 0"

Klopp: "Unahitaji nini zaidi kama una Ronaldo katika timu yako,labda baa kwaajili ya kusherehekea ushindi"

Haya ni MANENO tu..!
0dec4248-7359-11e4-_809215c.jpg

Messi anabaki kuwa MCHEZAJI bora kabisa kutokea katika karne hii ya 21...
Ronaldo anabaki kuwa MCHEZAJI pekee ambaye amekua akifananishwa na kushindanishwa na MESSI kiuwezo tangu MESSI ajulikane ULIMWENGUNI,lakini KUMBUKA hii haimfanyi RONALDO kuwa BORA zaidi ya MESSI "La pulga"..!

Mwisho:Najivunia kuwa katika KIZAZI kilichowashuhudia hawa watu wawili wakicheza mpira..!
 
hii ni discussion ambayo pengine haiwezi kuwa na mwisho kwani mpira wa miguu ni mchezo wa hisia zaidi kwahiyo hata katika kupima ubora watu wanaongozwa na hisia na mapenzi zaidi.kwaio yoyote anaefikiri CR7 au MESSI nibora basi yuko sahihiaccording to yeye.hivyo do not tell people who is the best to them wakat kila mtu ana uhuru wa kuchagua nani ni bora kwake.wote wana nmichango mikubwa sana katika soka kwahiyo waheshimiwe wote
 
umenena kweli tupu na mjadala ufungwe rasmi!
 
hii ni discussion ambayo pengine haiwezi kuwa na mwisho kwani mpira wa miguu ni mchezo wa hisia zaidi kwahiyo hata katika kupima ubora watu wanaongozwa na hisia na mapenzi zaidi.kwaio yoyote anaefikiri CR7 au MESSI nibora basi yuko sahihiaccording to yeye.hivyo do not tell people who is the best to them wakat kila mtu ana uhuru wa kuchagua nani ni bora kwake.wote wana nmichango mikubwa sana katika soka kwahiyo waheshimiwe wote
Hili ndilo hua jibu langu kwa waulizaji wangu.
Labda zichukuliwe statistic (idadi ya mechi,magoli,makombe,tuzo na mengineyi) za kwanzia waanze kucheza soka la kulipwa.

Lakini hisia zipo tu kwa wafuasi hawa
 
Back
Top Bottom