Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawezi jibu chochoteUngemuuliza maswala yafuatayo:
umri wake.
Elimu yake
Anaishi kwa Nani na Kama ana FAMILIA
Kazi yake Halali anayoifanya
Uelewa wake wa namna serikali inavyopatikana na wajibu wa wananchi na serikali.
Akikujibu Utakua na basis ya kumuuliza maswali yanayofuata