Kauli zako Rais zitalitesa Taifa kwa muda mrefu, jaribu kupunguza hisia weka busara zaidi

Kauli zako Rais zitalitesa Taifa kwa muda mrefu, jaribu kupunguza hisia weka busara zaidi

Yote aliyosema ni sahihi ila mwishoni umeharibu, ambarikije mtu mwenye kiburi?
Sina chuki naye wala sifurahii akikosea then why nisimuombe Mungu ambarikina kumlinda.
 
Una woga wa kitumwa! Wewe ungekuwa raisi wetu mzungu angekuwa anakalia kiti Magogoni! Mawazo yako ni yale yale ya nchi zilizotawaliwa na wafaransa! Hujiulizi kwanza kwa nini chanjo ya waafrika imetengenezwa kwa ajiri ya waafrika tu! Usiwatetee hao watu siyo kwamba wanatupenda sana kama unavyofikiri! Njia nyingi zimetumika kumaliza hii ngozi nyeusi. Kama hawa watu hawajawahi kutufanyia ubaya kamwe, tusingekuwa tunawashuku kwa lolote. Tumeisha gongwa na nyoka.
Usiwe mpumbavu mpaka hapo ulipofika umechomwa kinga ngapi? Let think critically and creatively
 
Back
Top Bottom