Kauli zilizotoweka tangu Magufuli aingie madarakani

Naenda msoga mara moja(mtu akikamatwa na trafik moro road na kuulizwa anaenda wapi)
 
Kama mwenye nyumba anakusumbua sema tutafute nyumba nyingine kwani hiyo kodi iliyobaki ni kitu gani bwana!
 
"LaZma tujenge uwanja wa Chato" ni sawa na 'hata mle majani ndege inanunuliwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…