roja24
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 634
- 410
Salaam wadau, naomba tujikumbushe kauli zilizotolewa na viongozi au watu maarufu na ambazo zilileta gumzo na mijadala sana kwenye jamii hapa Tanzania
Naanza na
1." Hivi ni Vijisenti"
2." Kama mtu hawezi kulipa 200 kuvuka panton Apige mbizi/aogelee"
3." Naunga Mkonyo Hoja"
4." Nasema watapata TABU saana, narudia watapata Tabu saana, kwasababu Kipigo chake ni cha Umbwa KOKO"
5." Hela ya kubafilishia mboga"
6." Tunaanza Upyaaaaaaaaaaaaaaaaa"
7." Ommy Hatoimba tena, kuimba ni Vocal"
8." Nimeonja Utam wa yes..u eee"
9." Naliamsha DUDEEEEE"
10." Ukitaka kulaa, ukubali kuliwa na wewe kidogooo."
Sent using Jamii Forums mobile app