Kaulimbiu (Motto) Za mashirika mbalimbali ya kijasusi duniani. Kaulimbiu ya TISS inasemaje?

Kaulimbiu (Motto) Za mashirika mbalimbali ya kijasusi duniani. Kaulimbiu ya TISS inasemaje?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Mashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu?

1. Kaulimbiu ya TISS...

2. Kaulimbiu ya CIA.
"The Work of a Nation. The Center of Intelligence."

Unofficial motto: "And ye shall know the truth and the truth shall make you free." (John 8:32)

3. Kaulimbiu ya Mossad. "Where no counsel is, the people fall: but in the multitude of counselors there is safety." (Proverbs 11:14)
 
"Building Peace and Prosperity"
Ofcourse, I'm Just speculating obviously
 
Mashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu?

1. Kaulimbiu ya TISS...
"Kijani ina nguvu, wewe kama huamini basi endelea kuibeza beza, halafu utaona utakachokipata."😂😂😂😂

2. Kaulimbiu ya M16:
" We are Spying For You."
 
Nilikuwa nafanya INTERNSHIP pale MOSSAD mwaka jana bahati mbaya tulikuwa hatuna kauli mbiu kwa sabb ya kuepusha tafrani na kuwaweka watu roho juu juu.

M16 wao wanasema hivi:_WE ARE SPYING FOR U
 
Nilikuwa nafanya INTERNSHIP pale MOSSAD mwaka jana bahati mbaya tulikuwa hatuna kauli mbiu kwa sabb ya kuepusha tafrani na kuwaweka watu roho juu juu.

M16 wao wanasema hivi:_WE ARE SPYING FOR U
Semper Occultus ("Always Secret")
 
Kuna sehemu niliona wameandika "Peace, stability and prosperity"

What next baada ya kuifahamu?
 
Back
Top Bottom