Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Kazi iendelee, mle urefu wa kambaHapa kazi tu
Kabsa sjui anataka kauli mbiu gaNiKazi iendelee, mle urefu wa kamba
Ccm mbele kwa mbeleKabsa sjui anataka kauli mbiu gaNi
"Kijani ina nguvu, wewe kama huamini basi endelea kuibeza beza, halafu utaona utakachokipata."ππππMashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu?
1. Kaulimbiu ya TISS...
Semper Occultus ("Always Secret")Nilikuwa nafanya INTERNSHIP pale MOSSAD mwaka jana bahati mbaya tulikuwa hatuna kauli mbiu kwa sabb ya kuepusha tafrani na kuwaweka watu roho juu juu.
M16 wao wanasema hivi:_WE ARE SPYING FOR U