johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inatosha nini bwashee?!Inatosha
Unafiki na watu wasiojulikana sasa basiSasa basi! Tumechoka na umaskini, uonevu, ubaguzi na ubabe. Sasa basi!
Kwa nini wanawamlishia humo humo Watanzania wote, walioonewa na wasioonewa?
Hiyo kauli mbiu sina hakika kama imekaa Kwa kuwaleta pamoja Watanzania, maana kuna maelfu na maelfu ukiwauliza Tz kama kunauonevu watakucheka!
Kwanini usimuite Mangi, hana hela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inatosha nini bwashee?!
Duu! Johnthebaptist unajitahi!!!!!"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiona kauli mbiu hiilewi au inakuchefua ujue haikuhusu. Waachie inaowahusu.Kwa nini wanawajumlishia humo humo Watanzania wote, walioonewa na wasioonewa?
Hiyo kauli mbiu sina hakika kama imekaa vizuri kuwaleta pamoja Watanzania, maana kuna maelfu na maelfu ukiwauliza iwapo Tz kunauonevu, watakucheka!
Na sisi Watanzania tunasema "SASA BASI na USHOGA NA USAGAJI". Tujikwamue na janga hili lililopo mbele yetu jamani, vinginevyo ni laana na vipigo kutoka kwa Mungu wetu aliye juu."SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020
Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.
Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.
Maendeleo hayana vyama!
Wanaopiga magoti kuomba kura huwa hawaombi huruma? 'yeyote anaeomba kura anaomba huruma 'there are many ways to kill a rat'Kauli mbiu ya kutafuta huruma ya wananchi😁
Hivi ndio kauli mbiu gani hiyo aibu tupu na wala hailengi kumsaidia mtanzania zaidi kumuongezea stress na chuki😕