Uchaguzi 2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

Uchaguzi 2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

Aaaah jamaa watoke tu bwana.... Aaaah wanatukoroga...
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Duu! Johnthebaptist unajitahi!!!!!
Mpk aibu naona mimi
 
Kwa nini wanawajumlishia humo humo Watanzania wote, walioonewa na wasioonewa?

Hiyo kauli mbiu sina hakika kama imekaa vizuri kuwaleta pamoja Watanzania, maana kuna maelfu na maelfu ukiwauliza iwapo Tz kunauonevu, watakucheka!
Ukiona kauli mbiu hiilewi au inakuchefua ujue haikuhusu. Waachie inaowahusu.
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone.... Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
Na sisi Watanzania tunasema "SASA BASI na USHOGA NA USAGAJI". Tujikwamue na janga hili lililopo mbele yetu jamani, vinginevyo ni laana na vipigo kutoka kwa Mungu wetu aliye juu.
 
Kauli mbiu ya kutafuta huruma ya wananchi😁

Hivi ndio kauli mbiu gani hiyo aibu tupu na wala hailengi kumsaidia mtanzania zaidi kumuongezea stress na chuki😕
Wanaopiga magoti kuomba kura huwa hawaombi huruma? 'yeyote anaeomba kura anaomba huruma 'there are many ways to kill a rat'
 
Back
Top Bottom