Uchaguzi 2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

Sasa basi,tumechoka kutukanwa eti sisi ni WANYONGE.
 
Kwaiyo mnajiaminisha chadema itapita? Magu lazima akamilishe miaka yake 10 mpende mcpende jombaa. Kwaiyo ninyi subirini 2025 ndio muongee, kwanza mshapoteana.

..unaposema "mpende mcpende" maana yake wewe na ccm wenzako hamuwezi kuyakubali matokeo ikiwa mtashindwa. sasa mnashangaa nini ikiwa wapinzani na wao wanatoa kauli zinazofanana na zenu?
 
sasa basi nini mimba za utotoni au
masuala yote waliyokua wanapigia kelele serikali inayafanyia kazi wanalalamika nini tena
 
Mmekuwa na maslogan mengi yasiyo maana. Pamoja na hayo, mtachezea mpaka mseme sasa ndio. Tukutane Oct 28.
 
Haya ma slogan yenu mungeweka mkazo na mitaani tukawajua ingependeza sana tofauti na hapo mnajipa moyo kama marehemu dk shika na mamilioni yake ya uswiss tu maana alijua ipo siku yatakuja,mwishowe had mungu kampenda.
Na chadema kushika dola ni kama kujipa moyo hamtashinda abadani.
 
Kipindi kile cha UKUTA mliogopa virungu na maji ya upupu..:

Nyie huwa ni maneno tu.

Vitendo sifuri kabisa.
Wanafiki sana hawa,hawana tofauti na mbwa koko. Jamaa yao kapigwa ban na tume akajifanya kuvimba picha ya mwisho akaishia kwenda kupiga mweche Mwendokasi.
 
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020

Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI.

Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa.

Maendeleo hayana vyama!
UHURU HAKI NA MAENDELEO YA watu sasa basi nikibwagizo elewa naona shuleni ulikuwa mzito kweli ndio maana tunalilia watumishi waongezwe mishahara namadaraja sasa mwalimu anapokutana nawatu wanamna hii unafikiri jasho humtoka iliujibu mitihani vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…