1. Anakuja msoma mita ya maji numbani kwako anakukuta upo na kaka Yako anasema Leo naona Mr/ shemeji Yupo nyumbani.
2. Unaelekezwa kumpelekea mtu mzigo, unamkuta kakaa na ndugu yake wakiume au wakike unasema msalimie shemeji. Wakati unatamka hayo huyo unayemwambia kaondokewa na mwenza wake siku si nyingi
3. Dada wa watu ameolewa ten years back na ajajaliwa mtoto, unakutana naye nakumsalimia. Bila kujitafakari unamuaga Kwa kusema salimia watoto
Pls kabla ujasema tafakari madhara ya unachotaka kusema
Stress, distress and depress ni matokeo ya overthinking. Kwani ukimwambia ^Last week nimefiwa na watoto wote kwa ajali,^ mathalani, utapungukiwa nini!??? Ama: ^This is just my lovely sister^ Mnakompliketi mambo sana wakati tasnifu za uprofesa wenu mmezikopi na kuediti za Garissa 🙂