Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Watu wa Samburu tayari wameshaanza kupiga mayowe ya njaa. Taratibu tu wakenya mtaelewa kuwa mnaelekea shimoni.
Hata kabla ya mipaka kufungwa njaa imekuwa Kenya na sio lazima tununue Tz tuko na Mexico, Uganda, Zambia, Malawi, Ethiopia na South Africa. Mbona mnawashwa majungu ya Nini bana?Watu wa Samburu tayari wameshaanza kupiga mayowe ya njaa. Taratibu tu wakenya mtaelewa kuwa mnaelekea shimoni.
Hata Nairobi iko karibu na Tanzania na mipaka imefungwa na hakuna njaa
MY TAKE
Hii inakaaje kuna njaa Samburu na ni karibu sana na Ethiopia the food basket of Kunyaland!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Na kweli mtakufa njaa, mnafikiri mchezo? Subirini tu....Mtuwache tufe na njaa yetu. πππ
Sasa middle income mnaliaje njaasi mfunge mipaka tukufe... this country called TZ has idiots from their president to the homeless citizen beggars ..
fikra ni ile ile... no wonder mko LDC...
Sasa middle income mnaliaje njaa
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
Ila majirani zetu, njaa kwao haijaanza leo... muda mrefu tu, nzige wenyewe waliwaletea njaa...
Cc: mahondaw
si mfunge mipaka tukufe... this country called TZ has idiots from their president to the homeless citizen beggars ..
fikra ni ile ile... no wonder mko LDC...
Tunasubiri tu tufe Kama nzige vile mshafunga mipaka πͺπͺπͺNa kweli mtakufa njaa, mnafikiri mchezo? Subirini tu.
Kufeni tu mtupunguzie kero zenu. Mmezidi.Tunasubiri tu tufe Kama nzige vile mshafunga mipaka πͺπͺπͺ
Poleni aisee mnatete ujinga wakati mwingine wakati rais wenu ndio anawasabishia hii adha poleni ndugu njaa ni kitu kibaya mno mtakao umia ni wananchi sio rais wenu Kenyatta kwanza yeye anakula kodi zenu nani mkwasi wa kutosha, stukeni mtaumia...Tunasubiri tu tufe Kama nzige vile mshafunga mipaka [emoji25][emoji25][emoji25]