Kaunti ya Samburu walia njaa

Kaunti ya Samburu walia njaa

Watu wa Samburu tayari wameshaanza kupiga mayowe ya njaa. Taratibu tu wakenya mtaelewa kuwa mnaelekea shimoni.

1*ONT1ly3wrOo9df8jJzy4Ew.png



lturkana.png



MY TAKE
Hii inakaaje kuna njaa Samburu na ni karibu sana na Ethiopia the food basket of Kenya


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Yaani unasikitisha na kuchekesha at the same time, njaa inauma mpaka watu wameanza kuwa wakimbizi wa ndani, watu wanazimia kisa njaa.

Kubwa zaidi na la kushangaza ni pale unapoona videos nyingi zinazoionyesha middle income state of Kenya ikiwa imechoka kupita maelekezo, mpaka sasa sijajua wanatumia tools gani kuji classify kama middle income state. Kenya hali ni mbaya sana, excuse ya Corona inawasafisha wengi sana kwa njaa wasipo badilisha mwelekeo.
 
Watu wa Samburu tayari wameshaanza kupiga mayowe ya njaa. Taratibu tu wakenya mtaelewa kuwa mnaelekea shimoni.

Hata kabla ya mipaka kufungwa njaa imekuwa Kenya na sio lazima tununue Tz tuko na Mexico, Uganda, Zambia, Malawi, Ethiopia na South Africa. Mbona mnawashwa majungu ya Nini bana?
Mtuwache tufe na njaa yetu. 😉😉😉
 
si mfunge mipaka tukufe... this country called TZ has idiots from their president to the homeless citizen beggars ..
fikra ni ile ile... no wonder mko LDC...
 
Tunasubiri tu tufe Kama nzige vile mshafunga mipaka [emoji25][emoji25][emoji25]
Poleni aisee mnatete ujinga wakati mwingine wakati rais wenu ndio anawasabishia hii adha poleni ndugu njaa ni kitu kibaya mno mtakao umia ni wananchi sio rais wenu Kenyatta kwanza yeye anakula kodi zenu nani mkwasi wa kutosha, stukeni mtaumia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom