Kauza nyumba kagoma kutoka


Kama umenunua Nyumba Kwa 50m Na kuna sahihi ya mwanasheria? Lengo la kuja kuuliza hapa Ni nini? Huyo mwanasheria hajui au wewe Hujui utaratibu?
 
Fanya mapema umuondoe hapo,huyo ana illusion na haamini kama anaiacha nyumba yake aliyokaa au kujenga miaka yote.Hii ilinitokea mimi kitofauti,aliyeniuzia alitoka ila aligoma kabisa kunipa ushirikiano wakati nafanya transfer ya title,busara ya mke wake ilisaidia sana kusawazisha mambo.
 
Imeisha .....wala asisumbuke Sana, maana hii order ( eviction notice) ikitolewa na mahakama afu akakaidi...tayari atashughulikiwa na mahakama (contempt to court)[emoji109]
Gharama za eviction zinatolewa na nani, mahakama/evicted person/mlalamikaji?
 
Imeisha .....wala asisumbuke Sana, maana hii order ( eviction notice) ikitolewa na mahakama afu akakaidi...tayari atashughulikiwa na mahakama (contempt to court)[emoji109]
Inaweza chukua muda gn hii Eviction order,!??
 
Sasa mmefikia wapi maana tarehe 5 February 2022 uliyoandika hapo ilishapita na leo ni tarehe 16 February 2022.
 
Watu wa hivyo nafanya nao kazi za mahakama, kama una pesa yako usirudie tena kununua nyumba ambayo watu walishaishi na wewe ukaweka humo familiya yako. Huyo mama atachimbia humo madawa mtaishi kwa taabu sana.

Cha kufanya, file mahakamani eviction order, dalali atapewa order ya kumuondoa. Faler huyo hela kalipwa anakatalia nini?

Wahi usimpe nafasi ya kuchumbia humo madawa.

Nb ukinunua nyumba ya hivyo iwe ni ya biashara. Nyumba ya kuishi na familiya yako nunua tu kiwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…