Kavua u boss

Naona jamaa anazidi kupapalia shamba lake ili apate Mavuno manono

Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
wala sio diamond alieweka hiyo picha
 
mond anapenda kufunga viatu kama mimi navyopenda kutumbua vichunusi ukikaa na mimi kama usipokuwa mkali utajikuta unamadoa doa mwili mzima
 
mond anapenda kufunga viatu kama mimi navyopenda kutumbua vichunusi ukikaa na mimi kama usipokuwa mkali utajikuta unamadoa doa mwili mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali classmate wangu mmoja alikuwa anapenda kutumbua chunusi watu nahisi darasa zima aliwatumbua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali classmate wangu mmoja alikuwa anapenda kutumbua chunusi watu nahisi darasa zima aliwatumbua
ha ha ha kama kaugonjwa vile
 
Hii si kama ile ya Mungu wa Dar alivyomfunga Riz gidamu za viatu vyake.
Hii ni sinema ya kusympathize yale yaliyowekwa wazi hivi majuzi.
katafute interview ya dully THE PLAYLIST ya lilommy
halafu utajua haya mambo anayo kabla ya hio kik ya omary nyembo !!!!
 
Mbona sioni cha ajabu hapo?Hii nayo ni habari?
Ujinga ujinga tu.
Ingekuwa kiba anamfunga viatu baraka ningekuona jinsi ambavyo ungesifia.. Kiba mnyenyekevu, kiba hana majivuno, kiba anajua kujishusha, kiba anamuheshimu kila mtu [emoji23] [emoji23]

Ila akifanya mtoto wa tandale......? [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.
Thank you [emoji8]

Of course kwa Kiba ingekuwa tofauti sababu yeye yupo real tofauti na Diamond kila kitu ni fake fake!

Ali Kiba akifanya kitu anamaanisha,Diamond huwa anatafuta attention a.k.a kick
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haujui tu jinsi jamaa alivyo mcheshi, intelligent and humble ukikutana nae hivi live in real life..
Siku moja tutaenda wote wcb Simba akiwepo! Walah utakuja kuandika uzi hapa wa kumsifu.. Subiri tu # jiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…