mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Yeye na makonda tuNi wachache sana wenye roho kama iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye na makonda tuNi wachache sana wenye roho kama iyo
na hauta nielewa kamwe una mizuka mingi nwananguSijakuelewa.
wala sio diamond alieweka hiyo pichahaaahaa sio kilakitu lazima ukiweke public,kipimo cha uungwana na roho nzuri sio kwa kufanya ili watu wakuone sukumwa na moyo hata wabaya wako watahusudu tu!!be real nassibu usichanganywe na washindani wako just relux if the game is yours man be a man boy
Kama sina chunusi?mond anapenda kufunga viatu kama mimi navyopenda kutumbua vichunusi ukikaa na mimi kama usipokuwa mkali utajikuta unamadoa doa mwili mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali classmate wangu mmoja alikuwa anapenda kutumbua chunusi watu nahisi darasa zima aliwatumbuamond anapenda kufunga viatu kama mimi navyopenda kutumbua vichunusi ukikaa na mimi kama usipokuwa mkali utajikuta unamadoa doa mwili mzima
ha ha ha kama kaugonjwa vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali classmate wangu mmoja alikuwa anapenda kutumbua chunusi watu nahisi darasa zima aliwatumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mond anapenda kufunga viatu kama mimi navyopenda kutumbua vichunusi ukikaa na mimi kama usipokuwa mkali utajikuta unamadoa doa mwili mzima
katafute interview ya dully THE PLAYLIST ya lilommyHii si kama ile ya Mungu wa Dar alivyomfunga Riz gidamu za viatu vyake.
Hii ni sinema ya kusympathize yale yaliyowekwa wazi hivi majuzi.
Mambo ya masharti au?katafute interview ya dully THE PLAYLIST ya lilommy
halafu utajua haya mambo anayo kabla ya hio kik ya omary nyembo !!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona sioni cha ajabu hapo?Hii nayo ni habari?
Ujinga ujinga tu.
AmazingRayvan ana sura fulani hivi.....
Nina machunusi kifuani...mond anapenda kufunga viatu kama mimi navyopenda kutumbua vichunusi ukikaa na mimi kama usipokuwa mkali utajikuta unamadoa doa mwili mzima
Ingekuwa kiba anamfunga viatu baraka ningekuona jinsi ambavyo ungesifia.. Kiba mnyenyekevu, kiba hana majivuno, kiba anajua kujishusha, kiba anamuheshimu kila mtu [emoji23] [emoji23]Mbona sioni cha ajabu hapo?Hii nayo ni habari?
Ujinga ujinga tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.Ingekuwa kiba anamfunga viatu baraka ningekuona jinsi ambavyo ungesifia.. Kiba mnyenyekevu, kiba hana majivuno, kiba anajua kujishusha, kiba anamuheshimu kila mtu [emoji23] [emoji23]
Ila akifanya mtoto wa tandale......? [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.
Thank you [emoji8]
Of course kwa Kiba ingekuwa tofauti sababu yeye yupo real tofauti na Diamond kila kitu ni fake fake!
Ali Kiba akifanya kitu anamaanisha,Diamond huwa anatafuta attention a.k.a kick