Kavua u boss

Kavua u boss

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haujui tu jinsi jamaa alivyo mcheshi, intelligent and humble ukikutana nae hivi live in real life..
Siku moja tutaenda wote wcb Simba akiwepo! Walah utakuja kuandika uzi hapa wa kumsifu.. Subiri tu # jiandae

Hebu na ufanye hivyo, ila kale kajamaa kila kitu chake anakifanya kwa ujanja ujanja sana,hivyo kuwa humble anaweza kuwa anafake pia.
Sio case,tutakwenda [emoji5]

[HASHTAG]#Najiandaa[/HASHTAG][emoji6]
 
Back
Top Bottom