Kawaida akiwasili Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Dodoma

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA

šŸ“UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji

#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani

IMG-20240916-WA0128.jpg
IMG-20240916-WA0129.jpg
 
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA

šŸ“UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji

#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
Ofisi za uvccm Dodoma zipo eneo gani?
 
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA

šŸ“UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji

#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
Habari hii ina msaada gani kwa wananchi?
 
Huyu Mohammed Ali Kawaida, mwenyekiti wa UVCCM taifa, alidhihaki kifo cha ndugu Ali Kibao.

Na siku 7 tangu wazee wa Tanga wavunje chungu na kusoma KURJUAN zinakamilika kesho.

Tunamuachia Mungu.
Mimi bado siku zangu 47 hazijaisha,
 
Mmh
 
Attachments

  • 20240815_234513.jpg
    20240815_234513.jpg
    49.9 KB · Views: 4
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA

šŸ“UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji

#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani

View attachment 3097736View attachment 3097737
Ahadi ya Gwajima kutujengea Chuo cha Ufundi na Udereva wa Boti Kawe,kisha kutupeleka vijana wa Kawe Uingereza tukimpa Ubunge iliishia wapi??ulikuwa ni mpiga debe wake mkubwa humu JF mwaka 2020šŸ˜€na juzi kajifanya kufufua mtu Kanisani kwakešŸ˜„Wasanii sana nyie watu
 
Sema kwenye siasa mambo ni mengi... leo hii kipanga Jokate kuanzia sekondari hadi UDSM yuko chini ya Kawaida.
 
Back
Top Bottom