Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Bado ni Binti mbichi.Bado tu hajafikisha miaka 40??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni Binti mbichi.Bado tu hajafikisha miaka 40??
Mwisho wa umri wa kuwa UVCCM ni miaka mingapi?Bado ni Binti mbichi.
35.Mwisho wa umri wa kuwa UVCCM ni miaka mingapi?
Cheo cha katibu mkuu UVCCM hakijali umri. Hata zaidi ya miaka 40 anaweza kuwa KMMwisho wa umri wa kuwa UVCCM ni miaka mingapi?
Miaka 60Mwisho wa umri wa kuwa UVCCM ni miaka mingapi?
KomrediKAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
View attachment 3097736View attachment 3097737
Wanajiaminisha kwamba kwenye siasa Eti Mungu hayupo 😱🤦🏽♂️😱😳😳 !Halafu muislam. Ndio maana waislam tunatakiwa tusome dini yetu