Kawaida akiwasili Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Dodoma

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA

📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji

#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani

 
Ofisi za uvccm Dodoma zipo eneo gani?
 
Habari hii ina msaada gani kwa wananchi?
 
Hivi Jokate ana cheo gani ndani ya chama?
 
Huyu Mohammed Ali Kawaida, mwenyekiti wa UVCCM taifa, alidhihaki kifo cha ndugu Ali Kibao.

Na siku 7 tangu wazee wa Tanga wavunje chungu na kusoma KURJUAN zinakamilika kesho.

Tunamuachia Mungu.
Mimi bado siku zangu 47 hazijaisha,
 
Salamu kwa mkono wa kushoto hii safii sana
 
Mmh
 

Attachments

  • 20240815_234513.jpg
    49.9 KB · Views: 4
Ahadi ya Gwajima kutujengea Chuo cha Ufundi na Udereva wa Boti Kawe,kisha kutupeleka vijana wa Kawe Uingereza tukimpa Ubunge iliishia wapi??ulikuwa ni mpiga debe wake mkubwa humu JF mwaka 2020😀na juzi kajifanya kufufua mtu Kanisani kwake😄Wasanii sana nyie watu
 
Sema kwenye siasa mambo ni mengi... leo hii kipanga Jokate kuanzia sekondari hadi UDSM yuko chini ya Kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…