Kawaita shoga zake kama sita wanipasishe kutoka nae out.

St Lunatics

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
6,644
Reaction score
11,174
Jana nilikuwa naranda na rafiki yangu sehemu tofauti tofauti mara akatokea mdada mzuri sana, nikajitambulisha jina langu na yeye akaniambia jina lake. Bila ya kuchelewa nikamuomba nitoke nae twende movie akaniambia kuwa amepanga na shoga zake kutoka jana jumamosi lakini yupo free jumapili. Nikamwambia basi tutoke kesho nipatie namba yako tupate kuonge vizuri akasema sawa lakini nifuate pale nitakupatia namba yangu. nilishangaa kwanini mpaka nimfuate anapopataka ndio anipe namba? Sijataka kuuliza hilo suali lakini baada ya kama dakika tano(5) nikamfuata alipo kufika naona shoga zake kama sita wananiangalia machoni kuna wengine wanatabasamu wengine wanatikisa kichwa juu chini na huyu mmoja akamwambia amepasi. Suali langu kwa wadada mpaka shoga zenu waseme anafaa ndio mutukubali?
 
1470054784782.jpg
Amepasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
sasa na wewe hyo kesho yake ungekusanya masela af unampleka then unawauliza vip niende nae movie uone na yeye atasemaje?
 
Jana nilikuwa naranda na rafiki yangu sehemu tofauti tofauti mara akatokea mdada mzuri sana, nikajitambulisha jina langu na yeye akaniambia jina lake. Bila ya kuchelewa nikamuomba nitoke nae twende movie akaniambia kuwa amepanga na shoga zake kutoka jana jumamosi lakini yupo free jumapili. Nikamwambia basi tutoke kesho nipatie namba yako tupate kuonge vizuri akasema sawa lakini nifuate pale nitakupatia namba yangu. nilishangaa kwanini mpaka nimfuate anapopataka ndio anipe namba? Sijataka kuuliza hilo suali lakini baada ya kama dakika tano(5) nikamfuata alipo kufika naona shoga zake kama sita wananiangalia machoni kuna wengine wanatabasamu wengine wanatikisa kichwa juu chini na huyu mmoja akamwambia amepasi. Suali langu kwa wadada mpaka shoga zenu waseme anafaa ndio mutukubali?

Duh! umepita mbele ya papuchi sita? bas we utakuwa hb tozi25
 
Back
Top Bottom