Hivi jamani hii serikali tuiambieje hadi isikie? Mkoa wa Iringa ndio unaoongoza kwa kuzalisha mbao na nguzo za umeme hapa nchini, lakini bila aibu ndiyo mkoa ambao watoto wa shule wanakalia madawati ya UDONGO. Kama si upofu na uziwi hii ni nini? Leo wananchi wakisema Serikali imechoka nani amtafute mchawi?