Kawambwa: Aibu hii, s/m lugota lutali - iringa wakalia madawati ya udongo

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Hivi jamani hii serikali tuiambieje hadi isikie? Mkoa wa Iringa ndio unaoongoza kwa kuzalisha mbao na nguzo za umeme hapa nchini, lakini bila aibu ndiyo mkoa ambao watoto wa shule wanakalia madawati ya UDONGO. Kama si upofu na uziwi hii ni nini? Leo wananchi wakisema Serikali imechoka nani amtafute mchawi?
 
Inaumiza sana kwa kweli
"Wanasubili Isani"
"Vox popoli vox dei"
 
Hivi jamani hii serikali tuiambieje hadi isikie? Mkoa wa Iringa ndio unaoongoza kwa kuzalisha mbao na nguzo za umeme hapa nchini, lakini bila aibu ndiyo mkoa ambao watoto wa shule wanakalia madawati ya UDONGO. Kama si upofu na uziwi hii ni nini? Leo wananchi wakisema Serikali imechoka nani amtafute mchawi?

Penye miti hakuna wajenz
 
Back
Top Bottom