Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

Usibadili maana wewe! Obama hapo anaonyesha heshima kwa kiongozi mkubwa kwake kiumri! African culture.

Dr Kawambwa anapigia picha magoti, ili apate huruma za wapiga kura. Kuna tofauti kubwa sana hapo, nadhani ni vizuri next time akili zako changanya na logic inayokuwepo!

Rev Mas

Hii jee? View attachment 14209

na hii View attachment 14210

Sio kwamba natetea, just saying msichague zakueka na kusema. Ila wakupigiwa magoti ni Mwenyezi Mungu peke yake.
 
Wanainchi wanaitaji sera sio kupiga magoti kama unasali. Namshukuru Mungu siasa inanipiga chenga na inipige na kanzu kabisa.

Ukweli ni kuwa naipenda siasa sana ila inapokuja kwenye mambo ya kiutendaji ndo napata kichefuchefu. Mtu unajua kabisa kuwa hukutenda yale uliyoyaahidi halafu unarudi na sera za kupiga MAGOTI kha! Watanzania wenye uchungu na nchi hii wapo. Tena wenye uwezo wa kutenda na kutimiza nearly 75%. Kama wewe umetimiza wajibu wako ya nini kupiga magoti? Hivi ukifika nyumbani watoto wanakuonaje?

Timiza wajibu rudi kwa wananchi tangaza sera kuwa sasa hatuko kwenye maji tuaingia kwenye barabara ama umeme ama shughuli nyingine ya maendeleo baada ya kumaliza kutimiza ahadi za uchaguzi uliopita. Wabunge wetu wengi hawajui kurudi na kutaka kujua kero za wananchi wao. Wao wanawachukulia kama watoto wadogo wanadanganywa kwa pipi.

Watanzania wa sasa wamesoma ingawa kwa elimu ya kuungaunga na sio rahisi tena wadanganywe kirahis namna hii. Utotoni tulidanganywa eti mtoto anadondoshwa na ndege na tuliamini hivyo! Mtoto wa miaka mitatu sasa anakwambia mama ana mimba na huko tumboni kuna mtoto! Wanasiasa amkeni na mjue ni aina gani ya watu mnaowaongoza kwa sasa.

Kuna thread nimepita naona hata mkuu wa nchi anakaa kwenye majani anaomba kura. inatia AIBU!
 
Maganga wao Husein Yahaya kawapa new tecnhnique mpya ya kuomba kura kwa kukaa na kupiga magoti. Bado kulala chini tu sasa. Kwisha habari yao.
 
CHADEMA INATISHA...! HAHAHAAAA

mtapiga magoti saaana...hata mbele ya watoto wa class7

Kwa ulivyo na point; baada ya uchaguzi, nitajitolea uende ukapate matibabu nje ya nchi iwapo tu kichwa chako kitaendelea kuwa kimevimbna kama kilivyo hivi sasa!
 
Ukweli ni kwamba PhD au uProfesa siku hizi si kitu. Watu wana degree nyingi lakini kichwani hakuna kitu. Imebaki ni vitisho tu, "Unajua mi nimesoma!" Sifuri. Mtu wa PhD hatakiwi kupiga magoti kuomba kura hasa ikizingatiwa uongozi ni "Mzigo, ni mgogoro!" kwa mujibu wa Nyerere ambaye nakubaliana naye kwa kauli hii. Akina Kawambwa wamesoma lakini hawajaelimika.
 
Kweli SIASA ni Utumwa; hasa ya kwetu tunapotafuta kuuaga umasikini kwa njia ya SIASA. kwani kama ni kutetea haki za watu sidhani kama angepiga goti....
Pole Ndugu yangu, piga magoti unajua unachokihitaji na ukikipata unasahau yote, hata ya wanaokubeza.......
Lakini Uhuru ni mtamu mno kuliko hayo unayoyafanya, kumbuka kuwa TENDA ZURI ILI HATA UKIKUMBUKA ULIVYOTENDA UFURAHIE MARA YA PILI

CIAO
 
Mkuu kwani ni lazima uchangia kila post ya mchungaji?
sio lazima kuchangia post yako mkuu lakini tunarekebishana tu; nimeona kwamba heading na content havifanani na ndio maana mods wamebadilisha. kumbuka hapa ni where we dare to talk openly; mambo ya kufichiana ujinga hayana nafasi.
 
Nawashangaa wana JF kwa kumshangaa Dr . Shukuru Kawambwa kuomba kura kwa kupiga magoti. Hivi hamjui mila za kitanzania ninyi mmezaliwa wapi??? Mimi sioni ubaya wowote aliofanya Dr Shukuru Kawambwa kwa kupiga magoti kumuombea kura DK JAKAYA KIKWETE .MIIMI NASEMA JK anastahili kura za ndio tarehe 31 Oktoba 2010 YES FOR DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE
 
Amedhalilisha sana MaEngineer wenzake!

i am an engineer myself, and Dr. kawamba happen to be my lecture those days when he was still at UDSM, this is outrageous, what is he doing? i can not believe my eyes! can someone take this pic to udsm notice board? ama kweli siasa inalipa, people would do anything!
 
nadhani huyu shukuru anakumbuka msemo wa JKT ,KIJANA JIKOMBE UKOMBOLEWE.
Mmmh! kaz kwel kwel ,inatia aibu.je akiachwa kwenye uwaziri si atajinyonga?
 
Nawashangaa wana JF kwa kumshangaa Dr . Shukuru Kawambwa kuomba kura kwa kupiga magoti. Hivi hamjui mila za kitanzania ninyi mmezaliwa wapi??? Mimi sioni ubaya wowote aliofanya Dr Shukuru Kawambwa kwa kupiga magoti kumuombea kura DK JAKAYA KIKWETE .MIIMI NASEMA JK anastahili kura za ndio tarehe 31 Oktoba 2010 YES FOR DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Tanzania bila wajinga inawezekana!
 
Narudia tena kuwashangaa wana JF ninyi mnatoka nchi gani? JEE HAMJUI MILA NA DESTURI ,HAMFAHAMU KUWA KUPIGA MAGOTI NI ISHARA YA UNYENYEKEVU ???. DR. Kawambwa kumuombea kura Mhe. JK KWA WANANCHI HUKU AMEPIGA MAGOTI SI TATIZO NI SEHEMU YA MILA NA DESTURI.

CHAGUA CCM CHAGUA KIKWETE 2010
 
Narudia tena kuwashangaa wana JF ninyi mnatoka nchi gani? JEE HAMJUI MILA NA DESTURI ,HAMFAHAMU KUWA KUPIGA MAGOTI NI ISHARA YA UNYENYEKEVU ???. DR. Kawambwa kumuombea kura Mhe. JK KWA WANANCHI HUKU AMEPIGA MAGOTI SI TATIZO NI SEHEMU YA MILA NA DESTURI.

CHAGUA CCM CHAGUA KIKWETE 2010

Tanzania bila wehu inawezekana ! Usipoteze muda wako kwa mgombea mgonjwa ataanguka
 
ndo maana siwezi kugombea, ktk uongozi, wowote
 
Shame on him,, and shame on the professional point of view.,,,...

What the hell is he doing,, his is the mess of ccm and we will get this problem as they are in the system..


Please lets get rid of this fellas and move on.... I mean get ccm out..
 
Kawambwa kasoma lakini hajaelimika, dawa yake ni kumpiga chini na huyo wa kwenye picha. Dalili hizi ni kwamba hajafanya lolote kuleta maisha bora kwa waliomchagua. Kama angekuwa amewaletea maendeleo asinge piga goti, bali angesimama kama shujaa kwa watu wake! Msimuangalie usoni, mpigeni chini arudi akafudishe chuo:mad2:.
 
Narudia tena kuwashangaa wana JF ninyi mnatoka nchi gani? JEE HAMJUI MILA NA DESTURI ,HAMFAHAMU KUWA KUPIGA MAGOTI NI ISHARA YA UNYENYEKEVU ???. DR. Kawambwa kumuombea kura Mhe. JK KWA WANANCHI HUKU AMEPIGA MAGOTI SI TATIZO NI SEHEMU YA MILA NA DESTURI.

CHAGUA CCM CHAGUA KIKWETE 2010

Upumbavu ni Kipaji
 
09_10_xa137s.jpg


Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!

Rev

I hope this has got nothing to do with photoshop!

09_10_xa137s.jpg
 
Baada ya uchaguzi ni baraza la mawaziri

Moja ya vitu vitakavyopewa kipaumbele katika kumchagua waziri ni uzito wa kitu alichofanya mtu ktk ku-support rais katika kampeni. na wala si uwezo wa mtu katika kuyakabili mambo magumu. Huenda Kawambwa akawa anaangalia mbali zaidi, Who knows.

Lakini katika proffessional point of view, Dr. Kawambwa hakuitendea haki Eng. Proffesssion.
 
Back
Top Bottom