Hii jee? View attachment 14209
na hii View attachment 14210
Sio kwamba natetea, just saying msichague zakueka na kusema. Ila wakupigiwa magoti ni Mwenyezi Mungu peke yake.
Wanainchi wanaitaji sera sio kupiga magoti kama unasali. Namshukuru Mungu siasa inanipiga chenga na inipige na kanzu kabisa.
CHADEMA INATISHA...! HAHAHAAAA
mtapiga magoti saaana...hata mbele ya watoto wa class7
sio lazima kuchangia post yako mkuu lakini tunarekebishana tu; nimeona kwamba heading na content havifanani na ndio maana mods wamebadilisha. kumbuka hapa ni where we dare to talk openly; mambo ya kufichiana ujinga hayana nafasi.Mkuu kwani ni lazima uchangia kila post ya mchungaji?
Amedhalilisha sana MaEngineer wenzake!
Nawashangaa wana JF kwa kumshangaa Dr . Shukuru Kawambwa kuomba kura kwa kupiga magoti. Hivi hamjui mila za kitanzania ninyi mmezaliwa wapi??? Mimi sioni ubaya wowote aliofanya Dr Shukuru Kawambwa kwa kupiga magoti kumuombea kura DK JAKAYA KIKWETE .MIIMI NASEMA JK anastahili kura za ndio tarehe 31 Oktoba 2010 YES FOR DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE
Narudia tena kuwashangaa wana JF ninyi mnatoka nchi gani? JEE HAMJUI MILA NA DESTURI ,HAMFAHAMU KUWA KUPIGA MAGOTI NI ISHARA YA UNYENYEKEVU ???. DR. Kawambwa kumuombea kura Mhe. JK KWA WANANCHI HUKU AMEPIGA MAGOTI SI TATIZO NI SEHEMU YA MILA NA DESTURI.
CHAGUA CCM CHAGUA KIKWETE 2010
kwenye siasa kinyaa, sasa hivi ndio wanakumbuka kutupigia magoti.
Narudia tena kuwashangaa wana JF ninyi mnatoka nchi gani? JEE HAMJUI MILA NA DESTURI ,HAMFAHAMU KUWA KUPIGA MAGOTI NI ISHARA YA UNYENYEKEVU ???. DR. Kawambwa kumuombea kura Mhe. JK KWA WANANCHI HUKU AMEPIGA MAGOTI SI TATIZO NI SEHEMU YA MILA NA DESTURI.
CHAGUA CCM CHAGUA KIKWETE 2010
Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!