Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

Haa Kuumbe ni engineer mimi nilifikiri labda wa Political Science Lazima atakuwa something wrong kichwani
Mbona hajafanya lolote kwenye wizara alizofanya zaidi ya kuzika kabisa ATCL
Engineering inalipa kuliko hata hiyo siasa
 

Mkuu Kweli huyo bachelor tuu njaa hana
 

Mh! nadhani ungekuwa unampigia kura peke yako hata kama agekulamba nyayo za makanyagio yako ungemstosa!!!!!!, wamuonee huruma maana Li-PhD tena la Engineering linapigia magoti miongoni mwao hawajui hata kusoma, wataona kumbe kusoma ni UPUUZI! kama huyu anayejiita Dr anatupigia magoti, kweli amedhalilika sana Mh. kawamba, basi mungu aiweke roho yake miongoni mwa wapiga kula!
 
Jamani kukaa kwenye kiyoyozi ofisini, garini na nyumbani, unafunga tai muda wote, unakuwa kama mfalme baada ya uchaguzi ukiwa waziri, watu wote wanakugwaya mpaka wazungu wanaokuja kuwekeza unapata 'cuts za bilions.
kwake na mawaziri wengi kutoa shilingi milioni mia mbili inakuwa kama kutoa elfu mbili. je kweli itawezekana ufikirie phd uliyonayo ?? ni bora kudanganyia kupiga magoti kwa kuhadaa ikizingatiwa ahadi wakati wa uchaguzi huwa ni hewa, na miaka mitano imeisha bila kutekeleza na bado unataka ukabudiwe kama mfalme ukirudi kwenye kiti cha enzi cha uwaziri, hii itasaidia kupata ulaji siku ya uchaguzi afterall ni kama ameenda kufanya interview ya kazi lazima kunyenyekea
 

Sijakuulewa! Lengo langu ya kueka hizo picha hapo juu ni kwamba kwenye siasa mtu yoyote anaeza kufanya jambo lolote ilimradi ateke akili za wapiga kura au aongeze ushawishi. Kwani huyo Obama baada ya kufanya hivyo wanaanchi na wapinzani wake pia walilalamika.
 

Kama alikuwa mhadhiri wako, kuna nafasi ya kumuheshimu! Hata kama kakosea wewe ilibidi uwe wa mwisho wa kutoa mawazo dhidi yake. Mwalimu halipiki! Hata uumpe mabilioni, mwalimu halipiki!
 


Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!



Huyu dada naye nashindwa kumwelewa kama ni mzima kweli

Waziri Kawambwa bila ya kupiga magoti picha ya Mzee J.Kikwete atakula wapi? Lazima afanye hivyo asipo fanya hivyo kibaruwa chake kitakwisha CCM ni mahali pa kula sio Maendeleo kwa walala hoi ukipata kula tu hiyo ndio CCM. Na waopigia magoti wote ni wale wanaokula mali ya umma ya walala hoi piga magoti upate kula yako kasheshe kweli Tanzania yetu.
 
Hii picha ya kumwabudu mwanadamu mwenzio kwa vile tu kakupa ulaji hapo MIUNDO MBINU badala ya KUMWABUDU mwenyezi Mungu ni ushahidi tosheleza ya jinsi maadili YALIVYOWEWESEKA na kutokumcha MWENYEZI MUNGU kunavyoathiri maendeleo ya nchi hii. katika mazingira haya hata mganga wa kienyeji akimwamuru amtoe roho albino ili aendelee kutesa hapo MIUNDO MBINU atatimiza tu.

MWENYEZI MUNGU AMCHAPE KIBAO NA ADONDOKE PWAAAAAAAAAAAAA KWENYE JIMBO LAKE ILI AELEWE MUUMBA NI NANI KATI YAKE NA JK.
 


Asipopigia picha ya JK goti hatapata uwaziri :becky::becky::becky:
INASIKITISHA SHA MTU MZIMA NA ELIMU YAKO YOTE UMESOMA KWA SHIDA LEO HII UNAKIJA KIJIDHALILISHA KUPIGA GOTI KWENYE PICHA LOL ! UNGEKUWA HUJASOMA TUNGESHEMA HUNA ELIMU HUJUI MAANA BUT UMESOMA SHAME ON U KAWAMBWA
 


Asipopigia picha ya JK goti hatapata uwaziri :becky::becky::becky:
INASIKITISHA SHA MTU MZIMA NA ELIMU YAKO YOTE UMESOMA KWA SHIDA LEO HII UNAKIJA KIJIDHALILISHA KUPIGA GOTI KWENYE PICHA LOL ! UNGEKUWA HUJASOMA TUNGESEMA HUNA ELIMU HUJUI MAANA BUT UMESOMA SHAME ON U KAWAMBWA
 


Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!



Huyu dada naye nashindwa kumwelewa kama ni mzima kweli

Mchungaji,

Yaani imebidi nirudi kusoma tena hili bandiko
 
Kupiga magoti kwa wadanganyika haina mantiki, angewapa tu jerojero asubiri kicheko
 
Ahhh wakuuu, msimhukumu sana Kawamba maana hakuna na maana hiyo .... 🙂

 
Last edited by a moderator:


Siasa mchezo mchafu.
Halafu ni tau kama asali. Sasa mwenzako kashaonja, haelewi kitu.
 
Moja ya sababu wizara ya miundombinu imedolola ni kuwa na waziri mganga njaa asiyejua mbele wala nyuma bali tumbo lake tu!! Angalieni wanajanvi, huyu jamaa barabara inayopita jimboni kwake ilivyohujumiwa[ Bagamoyo-Msata]; wakorea wamechukua fedha wamekimbia lakini hakuna mtu aliyewajibika; kama sio yeye mwenyewe kushirikishwa katika wizi huu nani atakuwa muhusika mkuu? Huyu bwana hafai kabisa kuwa waziri hata kama nindugu ya Jakaya. Halmashuri ya Bagamoyo imeibiwa fedha chungu nzima na yeye mbunge yupo hapo hapo na vikao vya halmashauri anahudhuria!! Kwakifupi jamaa hafai.
 
Kuachilia ushabiki wa siasa, na kuuweka pembeni, hii picha haisemi moja kwa moja kama anaipigia magoti. Inaelekea yuko mkutanoni akimwaga sera zake, nakubaliana na aliyeandika mwanzo inaonekana ameiegamia kama kutafuta sapoti na sio kuitumia kuombea kura- masuala ya phd yake na kupiga magoti naona yameenda mbali sana.
 

You can not fool anyone! it cant be the normal posture of Dr Kawambwa selling CCM's election manifesto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…