Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wadau hebu angalieni huyu baba na degree zake tatu huu ujinga anaoufanya hivi
sasa kama huyu anafanya hivi na sie walalahoi tutaishia wapi, nayaamini maneno ya Profesa wangu akiwa ananifundisha aliseama kuwa huyu jamaaa alishindwa kuandika Pepa yoyote tangu apewe hiyo PhD yake....kwa hali hii nashawishika kuwa yule Prof alikuwa sahihiView attachment 14393
Kwani ni dokta nani huyo?
Watu wa tabia kama hii ni hatari zaidi ya ugomjwa wa ukoma.Rais mwenye busara hawezi kuwa karibu na watu wa sampuli hii!!
Lakini kwa staili hiyo kwa mtu msomi kama yeye haiingii akilini badala ya kunadi sera anaanza kuigiza!hahahaaa!kila mtu na style yake ya kuomba kura................wewe vipi! wivu tu wewe na huyo profesa wako!
Shukuru Jumanne Kawambwa
Elimu
Surrey University - UK PhD (Eng.) 1990 1993 PHD
Reading University - UK MSc. (Eng.) 1983 1984 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BSc. (Eng.) 1978 1982 GRADUATE
Jamaa kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa Senior Lecturer pale College of Engineering - UDSM! tokea 2000
Leo anapigia magoti picha kweli Engineer mzima! Elimu na exposure havijamsaidia kabisa kabisa! To me this is a mental case
Rev Masanilo,
Ugonjwa wa Njaa si ule unaotibiwa kwa Chakula tu, kuna Njaa za aina nyingi na wakati huu wa Uchaguzi utaona Wagonjwa wakizuka kwa njia tofauti. Huyo mh. ni mmoja wa wengi.