Kawambwa kakosea hesabu au vyombo vya habari vimemnukuu vibaya?

Unapoficha moto moshi utakuumbua. Mgogoro wa walimu uliisha kibabe in other side action iliyichukuliwa na serikali reaction yake ndio hii kwenye matokeo. Mitaala tunapata majibu ya yale yaliyohojiwa.
 
Hata kama ikirekebishwa Matokeo ni Kilio na Msiba wa Taiffa..

Hata kama ungekuwa ni ww lazma uchanganyikiwe......hari mbaya

Waliofanya mtihani walikuwa 399,000 kwa hesabu za haraka...


napita tuu wakuu

Itasaidia?
Kehasema wasichana wamefeli sababu ya wanamme!

No... hii hapa inaanza kutupa picha ya ubovu wa wizara hiyo. Kama aliowaamini (vichwa), wa hapo wizrani ndio wanaweza kuandaa ripoti yenye kosa obvious namna hii, tutashangaa nini kufeli kwa 94%?
 


Mkuu naunga mkono hoja 100%. Sasa hili sii tatizo la wizara ya elimu peke yake tena. Ni tatizo la kila mwananchi mwenye mapenzi mema na hii nchi. Tungetakiwa tuliwajibishe bunge na serikali kwa kushindwa kutetea maslahi ya mtanzania. Mbaya zaidi, zaidi ya asilimia 20 ya bajeti ya Tanzania kwa sasa imeelekezwa kwenye elimu. Hivyo ni kusema kwamba, karibu asimia 20 ya bajeti ya Tanzania inatumika kuzalisha sifuri!!! Hii ni hatari kwa ustawi wa Taifa. Mjadala wa kitaifa kuhusu ubora wa elimu yetu haukwepeki!
 

hebu nijaribu;mchagga (Kilimanjaro), mhaya (bukoba), mkurya (mara), ------ (bagamoyo), mzaramo (kisarawe)
 
hebu nijaribu;mchagga (Kilimanjaro), mhaya (bukoba), mkurya (mara), ------ (bagamoyo), mzaramo (kisarawe)

He! kweli bwana.... kuna kabila moja haliandikiki maskini... yaani mtu kuwa wa hilo kabila ni tusi tayari... yaani hilo kabila ni la aibu, kiasi kwamba halitakiwi kutamkwa hadharani...
 
Matokeo haya ya mtihani ni kaburi la ccm 2015, mauaji ya wachungaji ni kaburi jingine kwa ccm, lets wait an see by 2014
 
Hiyo 456,137 ni yale waliostahili kufanya mtihani yaani registered ila waliofanya ni 1641+6495+15,426+103,327+240,903
 
Hiyo 456,137 ni yale waliostahili kufanya mtihani yaani registered ila waliofanya ni 1641+6495+15,426+103,327+240,903

Hapana...

Soma hii sehemu ya habari ya mwananchi hapa chini...

[Dk Kawambwa alisema watahiniwa wote kwa ujumla waliosajiliwa walikuwa 480,036 kati yao wasichana 217,583 sawa na asilimia 45.33 na wavulana 262,453 sawa na asilimia 54.67 lakini waliofanya mtihani huo ni 456,137 sawa na asilimia 95.44, wengine 21,820 (asilimia 4.55) hawakufanya mtihani.]

Alafu, ukichukua hao 456,137 waliofanya ukajumlisha na 21,820 waliofanya, unapata 477, 957. Sasa hao 2079 ambao hawapo kwenye hiyo hesabu, sijui wako wapi!!!
 
Huyu jamaa ni kimeo, nakumbuka swala la mitaala, akakanusha, lakini cha kushangaza mkurugenzi wa taasisi ya elimu akajiuzulu, sasa kwanin alijiuzulu , kama kweli ile mitaala ilikuwa halali?


watanzania vipi mbona hamuelewi.......KILIMO KWANZA ELIMU BAADAE---- SASA NGUVU KAZI YA KULIMA ITAPATIKANA WAPI KAMA WATOTO WATAFAULI... NANI ATAPALILIA.... HIYO NDO MBIU YA SISIEMU MKITAKA BADILISHENI CHAMA...
 
Ukisoma hilo hilo mwanachi chini baada ya hiyo uliyo quote utakutana na hii
Alisema watahiniwa wa shule (school candidates) walikuwa 397,136 sawa na asilimia 96.57, miongoni mwao, 14,090 sawa na asilimia 3.43 hawakufanya mtihani huo kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo
Wamefanya hivyo ili kupunguza idadi ya ziro maana huku kwa private candidates hali ni mbaya sana sasa wakaamua kuwatenga na school candidates ili kupunguza kutaja idadi ya ziro na ndio maana hawakutajwa kbs hao PC
 
Atakumbukwa kama bwana maendeleo mwenziyo.
 

Tumetoka Analogi kwenda Digitali kinamna!!!


View attachment 83828
 
Tupo vizuri, ufaulu wa watoto wetu unakwenda sabamba na ufahamu wa watanzania kuwa ni 6%.
 
tatu nibora wanafunzi walio fail wapelekwe vyuo vya ufundi agalau wanaweza pata kitu cha kusaidia katika maisha yake

Yani umetudharau sana sie mafundi aisee.....
Alafu badae wakiwajengea magorofa kwa kutumia FITO yakaanza kuanguka mtasema mafundi wabovu.

au wakiwachanganyia maji na mafuta ya taa kwenye matank ya mafuta kwenye magari yenu mtasema TPDC, EWURA na TBS wazembe. Barabara zikibomoka kwa mikojo ya ng'ombe mtasema Waziri kachakachua.
 

Pyaaaaaaah....aghrrrrrrrrrr.................! nahisi kutapika. Toka nipate akili huu ni mwaka wa 32 sijawahi ona mahonyomahonyo kama ya mwaka huu. 94.1% Failed (zero &4) halafu Waziri anakenua meno tu. Nchi hii tumerogwa. Mambo ya kipuuzi ya kuchinja nyama viongozi walishupalia kutoa matamko, jambo nyeti kama hili mimtu ipo kimyaa. WASIRA haya toa tamko na hapa. Pum...................b..............a.......................f
 
Siyo mjadala. Hapa bunge lijiuzuru lote, baraza la mawaziri livunjwe, uchaguze uitishwe wa haraka. tupate serikali mpya then ndiyo tufanye mjadala wa kitaifa wa kujadili ustakabali wa elimu ya nchi yetu. Hii sasa hivi siyo serikali sikivu.
 

kaka kuna idadi ya watahiniwa kama elfu 60 na zaidi wakujitegemea, so hizo div 0 ni za school candidate only ambao jumla yao ni 397630,
ukijumlisha hao wa p.c ndio jumla kuu inakuwa laki 4 na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…