Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 745
Akizungumza katika kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm tarehe 15-5-2014 ,Dr Kawambwa alisema fedha zimeanza kupelekwa kwa ajili ya kulipa walimu ili mwaka mpya wa fedha uanze bila madeni ya walimu.
My take:
Hii si mara ya kwanza kwa ahadi hii kutolewa,ni kwa nini inakuwa ngumu kutekelezwa?
My take:
Hii si mara ya kwanza kwa ahadi hii kutolewa,ni kwa nini inakuwa ngumu kutekelezwa?