Walimu wa tz kabisa? Wagome he he he nitabeba bango mieMshahara wa mwezi wa 4 walichelewesha sana na watu wameweza kuvumilia, ipo siku walim wataingia kwenye mgomo bila hofu yeyote ile.
Walipe madeni yetu bwana.
Mshahara wa mwezi wa 4 walichelewesha sana na watu wameweza kuvumilia, ipo siku walim wataingia kwenye mgomo bila hofu yeyote ile.
Walipe madeni yetu bwana.
Inashindikana nini, mie nawategemea hawa wanao maliza chuo kikuu, siku hizi wanaajiriwa wengi sana hivyo mgomo utawezekana tu.Walimu wa tz kabisa? Wagome he he he nitabeba bango mielabda wakenya waje watusaidie kugoma
Tatizo ni kwamba hawa viongozi wetu bado tu hawana utashi wa kumaliza madeni haya.Mbona hatujasikia kama wabunge wa BMK wanadai? Kwa nini Walimu tu na si Wanajeshi?.Wanahitajika kujitafakari upya,Mwl ni mtu muhimu sana katika maendeleo ya nchi.
Labda kizazi cha walimu wa enzi za mkoloni std 4 na 7 kiisheInashindikana nini, mie nawategemea hawa wanao maliza chuo kikuu, siku hizi wanaajiriwa wengi sana hivyo mgomo utawezekana tu.
Labda kizazi cha walimu wa enzi za mkoloni std 4 na 7 kiishe
make wanatumia vyeti vya watu wakisikia mgomo wanawaza kibarua kitaota nyasi
huwa hawaungi mkono hata dakika 1
Thubutuuuu sensa iliopita wamefanya hadi ma bar maid walimu tupa kuleEvelyn Salt we mwalimu? Tuachie mambo yetu na sirikali tunajuana mfano sensa tuliendesha sisi, kwasasa homa ya Dengue tunapewa semina tukatoe elimu huoni faida tunazopata ni lukuki
Labda kizazi cha walimu wa enzi za mkoloni std 4 na 7 kiishe
make wanatumia vyeti vya watu wakisikia mgomo wanawaza kibarua kitaota nyasi
huwa hawaungi mkono hata dakika 1
Evelyn Salt we mwalimu? Tuachie mambo yetu na sirikali tunajuana mfano sensa tuliendesha sisi, kwasasa homa ya Dengue tunapewa semina tukatoe elimu huoni faida tunazopata ni lukuki
Hao ndo huwa wanasababisha ugumu...Hicho kizazi bado kidogo kuisha na kama bado wataendelea kuwepo basi wataingia mgomoni kwa lazima.
Ni suala la muda tu,tena kasi ya mabadiliko ni kubwa sana!
Hizo semina wanapewa wanawake peke yao, kitu kingine, hiyo sensa mpaka itokee ni kila baada ya miaka 10, pili yanaopata hiyo nafasi ni wachache sana, haifaidishi wengi.
Mfumo dume kwenye hela? Asietaka hela nani?Wanaume wengi hamnataki kujihusisha na mambo ya semina nadhani ni kutoaka na mfumo dume
Wanaume wengi hamnataki kujihusisha na mambo ya semina nadhani ni kutoaka na mfumo dume