Kawambwa:Madai ya Walimu kulipwa kabla ya Julai


rafiki yangu yupo bagamoyo anadai mishahara ya miezi mitano tangu tarehe 7 mwezi 3 mwaka 2010 hadi tarehe 31 mwezi wa 8 hadi leo, aliambiwa aandike barua ya kudai,akaandika bado pia hakulipwa,akaambiwa ajaze form akaenda akajaza miezi mitano imepita sasa tangu ajaze form hy hadi sasa hajalipwa, labda hl tamko la waziri litamsababisha nae alipwa sasa!!!
 
Kuna tcha mmoja ni mkuu wa shule ila hata cheti cha form four hana
huyu hata umshikie bunduki hawezi kugoma anajua kazi kaipata kimagumashi

Duh! Hawa wa hivi bado wapo? Lakini hawana muda mrefu hawa watu.
 
"Kitu pekee anchoweza kukuambia ukweli mwanasiasa ni JINA LAKE TU" Unknown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…