GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Haiwezekani kila Siku Wakongo tunakufa hapa kwa Kushambuliwa na Waasi wa Mai Mai na hata wale wa M23 huku wengine Wakibakwa na Nyumba zetu Kubomolewa halafu Askari wa Kulinda Amani hawa wa MONUSCO wapo tu wanaangalia na hawatusaidii chochote. Wamekuja kutulinda Wakongo au Kukaa tu huku na Kunenepeana hovyo? Hatuwataki na tutaandamana bila Kuchoka mpaka warudi walikotoka na watuachie Congo DR yetu" Raia wa Congo DR
Taarifa: Nipashe ya Radio One Leo.
GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza (na sijaitaja nchi yoyote hapa) kuwa nendeni mkawatoe Wanajeshi wenu Congo DR kwani Wenye nchi yao hawawataki tena na Wameshawashtukieni kuwa mnajifanya mnawapenda na Kuwalinda kumbe mnawaibia Rasilimali zao halafu mnaisingizia Rwanda wakati nanyi pia mnaiba vile vile tena zaidi kutokana na Urafiki wenu na Rais wa nchi yao.
Kama kweli nyie mnajifanya mnajua Kulinda Amani na mna Jeshi Kabambe na lililopikwa mbona hamuwoombi UN mwende Kulinda Amani Somalia ili ndani ya Wiki Moja tu mrejeshewe 'Viwiliwili' vya Wanajeshi wenu huku Vichwa vyao vikiwa vimebakia Somalia?
Na bahati mbaya sijui hata ni nchi gani ya Afrika imepeleka Congo DR Askari wake wa Kulinda Amani wanaounda hiyo MONUSCO, ila GENTAMYCINE nasema tu kuwa nendeni mkawatoe Askari ( Wanajeshi ) wenu kwani hawatakiwi Congo DR kwakuwa wapo wapo tu na wananenepeana hovyo kama 'Vitumbua' vya Mwananyamala kwa Kopa.