Kawaondoeni Askari wenu wa MONUSCO huko Goma (Kivu) Congo DR kwani Wakongo Wenyewe hawawataki tena

Dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumekuchaaaaaaaaaa!!!!
Wahusika wanaoambiwa waondoke, wawe waungwana wasepe huko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila huyo mwananchi eti "wananenepeana" uwiiiii
 
Unataka watoke ili kagame achukue vyake bila kuangaliwa na mtu?
Nawalilia wakokongo ila kagame na alaaniwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…