Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Wewe kweli mpumbavu. Hujamuona Lissu akipiga kura?
 
Hivi nyie waCongo mbona mnapenda kuingilia mambo ya Tz
 
Vitisho nyuma ya keyboard tena ukiwa na id fake ni kupoteza muda
 
Wewe peke na familiar yako ndo mtaingia mtaani. Kisa cha kuumia nini. Utavunjwa miguu wewe, anayekutuma kuandamana kesho anashikana mikono na mpinzani wake.
 
ndo ujue kama huo ni uzushi. hawasemi zimekamatwa wapi? toka asubuhi mdee anahangaika kueneza propaganda. nadhani amejua kama anashindwa
Tatizo hufatilii mpuuzi wewe wakat wametaj walikokamata na kitambulisho Cha mpiga kura wamekamata
 
Wewe kweli mpumbavu. Hujamuona Lissu akipiga kura?
Upumbavu ndio umekukaa hadi unauandika.. si ukae chini uule kabisa... leo ni leo.. utalii umeisha mwambie arudi kwao Belgium...

Hivi yale yaushoga itakuwaje ndio imeandikwa pia kwa katiba ya chadema au? kweli napitwa na habari.. nijuze mie wa kijijini..

Leo Magufulibaba leo na bado... dunia yote mabeberu macho Tanzania..historia leo... πŸ’› πŸ’š πŸ’› πŸ’š πŸ’›
 
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa

View attachment 1614622
View attachment 1614758
Hii fake.
Tutajuaje kuwa hii ni orchestration ya wafuasi wa Halima, ili ku discredt ushindi wa Gwajimma.Na kama kua zimekamatwa kwa nini wazichome moto badala ya kuthibitisha na kuzifanyia uchunguzi.
 
Anyway najiuliza tu kama kweli huo ni ushahidi kwanini wauharibu? au clip itatumika kuthibitisha kuwa zilikuwa za ccm
 
Waongo tu hao kwenye kituo zitaingiaje.Halima huna chako ujaribu kuhadaa wananchi
Kura za mbunge na Rais zinakwenda kuchanganywa Jimboni ndipo jumla inapatikana.Kwa hiyo hizo zinatafutiwa namna ya kuingizwa tu mahali husika. Kama tume imeweza kuzitoa nje ya mfumo wake, itashindwaje kuziingiza? Hiyo mbona kitu rahisi sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…