Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Kura zinahesabiwa kituo cha kupigia tuu...Kura za mbunge na Rais zinakwenda kuchanganywa Jimboni ndipo jumla inapatikana.Kwa hiyo hizo zinatafutiwa namna ya kuingizwa tu mahali husika. Kama tume imeweza kuzitoa nje ya mfumo wake, itashindwaje kuziingiza? Hiyo mbona kitu rahisi sana?
Ukifika kata mnajumuisha tuu.. kupitia fomu zile zile za mawakala... Hizo zinazokuwa feki unaziingiza wapi!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app