Kura zinahesabiwa kituo cha kupigia tuu...Kura za mbunge na Rais zinakwenda kuchanganywa Jimboni ndipo jumla inapatikana.Kwa hiyo hizo zinatafutiwa namna ya kuingizwa tu mahali husika. Kama tume imeweza kuzitoa nje ya mfumo wake, itashindwaje kuziingiza? Hiyo mbona kitu rahisi sana?
Acha UlofaUngekuwa na akili ungemuona
Acha ufala thibitisha ulichokiandikaUnauliza au unapigia jibu mstari?
Kilaza kaa kimya huna jipya.Ebu tuelezee hizi kura zimekamatajwe? Zimekutwa wapi na nani? Wahusika wako wapi? Ni akina nani? Zilikuwa za kituo gani?
Kutengeneza ka video tu na kuchoma vikaratasi watu walivyo chapisha wenyewe aimaanishi ndio ushahidi.
Sasa kuna mantiki gani ya kuwa na mawakala wa vyama huko ndani wenye jukumu la kuhakiki wanaojitokeza ili kujua tally ya kura kama zinalingana mwisho wa siku.
Ni mipango ya kitoto sijui CDM wanatafuta nini uchaguzi huu.
Mkuu kwanini wachome Ushahidi?
Acha ufala thibitisha ulichokiandika
chadema bana,kura mmechapisha wenyewe hizoWananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa
View attachment 1614622
View attachment 1614758
Ndiyo maana wanashindwa uchguzi, fikra zero.Sasa si wanaharibu ushahidi?